Psalms 143:11


11 aEe Bwana, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu,
kwa haki yako nitoe katika taabu.
Copyright information for SwhNEN